Mamlaka kwenye mji wa New Delhi India zimethibitisha kwamba zimewakamata Wanawake wawili wa Kiafrika baada ya kuwakuta na dawa za kulevya kilo nne. Mamlaka zimesema katika Wanawake hao kuna Mtanzania mmoja aitwae Pamela D. Kirrita mwenye umri wa miaka 41 na mwingine ni Mzambia Thelma Mkandawire mwenye umri wa miaka 38. Ripoti iliyotolewa na mamlaka […]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Post a Comment